Hatimaye Chris Brown atangaza tarehe mpya ya kutoa album yake ‘X’ iliyoahirishwa zaidi ya mwaka

Baada ya kwa albm yake mpya ya X hatimaye Chris Brown ametangaza tarehe mpya ya kutoa album yake mpya na ya 6 aliyoipa jina la ‘X’, ambayo imekua na bahati mbaya kwa kuahirishwa zaidi ya mwaka kila anapotaja tarehe ya kuitoa. kwa mara ya kwanza Breezy alianza kuzungumzia ujio wa album hiyo March 26, 2013.





X sasa inatarajiwa kutoka Septemba 16, 2014.

Siku moja kabla hajatangaza tarehe ya kutoka kwa album hiyo (April 3) Breezy pia aliandika ujumbe Instagram unaoelezea maisha yake.







Alipost picha (hapo juu) na kuandika:

“Nimekutana na mambo mengi katika maisha yangu, nimefanya makosa mengi. Lakini kupitia hayo yote nimekuwa mkweli kwangu, na kwa kupitia Mungu nimeweza kuihudumia familia yangu! Natakiwa kujuta kwa baadhi ya mambo lakini nadhani somo nililopata litanibadilsha kuwa mwanaume wa kweli. I’m grateful and appreciative! Thank you for life!”
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa