Music:DJ Khaled f/ Chris Brown, August Alsina, Future, & Jeremih – ‘Hold Y

Dj Khaled ameachia ngoma mpya aliyowashirikisha wasanii wakali kama Criss brown Future pamoja na Jeremiah wimbo unaitwa Hold you Down, kwa wa kwanza kuusikiliza na kuudwnload hapa.

Wimbo huu unapatikana atika album yake ya pili inayoitwa I Change A lot, mbali na kutoa single hii ya Hold you Down aliteese kipande cha video ya wimob huo ambao kwa sasa unapatika Itune





Tazama kipande hicho cha video ya Hold You Down

Tommorow Monday ! #HoldYouDown on iTunes my new single DJ Khaled feat @chrisbrownofficial @augustalsina @future @jeremih @wethebestmusic I'm very excited for all our fans to get this one ! Another one! My voice!
Previous Post Next Post

Popular Items

HOW TO LOOSE GOOD WOMAN

5 THINGS YOU DON'T KNOW ABOUT LIL COOL J