Music: Amili Mili Ft Aslay – Nikupeti Peti

Sikiliza ngoma mpya kutoka msanii mpya aliyetambulishwa na Mkubwa Fella kupitia yamoto Band kwa jina la Amili akimshirikisha Aslay na nyimbo yake inakwenda kwa jina la “Nikupeti Peti” Producer Shirko




Previous Post Next Post