Masanja Mkandamizaji atoa yake ya moyoni juu ya uhusiano wa Diamond na Wema ' Kama wangekuwa watu wa kuona wangesha oana, uchumba gani mrefu kama wasmea udokta??'

Wasani mbalimbali wanatoa ushauri wao kuhusiana na mapenzi ya Diamond na Wema Sepetu, H-Baba alitoa ushauri wake kwa Diamond Platnumz na sasa Masanja Mkandamizaji ambaye ni muigizaji wa vichekesho kupitia ikurasa wake wa instagram aliamua kupost ushari wake ambao uliwalenga Wema Sepetua na Diamond Platnumz .



Masanja Mkandamizaji aliandika,
Street Pastor Anasema.. HILI SWALA LA DIAMOND NA WEMA NADHANI MUNGU AMEMUHURUMIA MMOJA WAPO KATI YA HAO WAWILI. KAMA WANGEKUWA WATU WA KUOANA WANGESHA OANA UCHUMBA GANI MREFU KAMA WANASOMEA UDOKTA???? RAFIKI YANGU NASIB, KAMA KWELI MLIPENDANA KWA DHATI HIZO KASORO ZINAREKEBISHIKA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ALIYE SAHIHI KWAN HATA WW NASIB UNAMAPUNGUFU YAKO. NA WEWE DADA YANGU WEMA LAZIMA UJUE MME NDIO KICHWA CHA NYUMBA KWA MAELEZO HAYO INAONYESHA HAUMSIKILIZAGI MWENZIO OMBA MSAMAHA TENAAA NA TENA NA UKUBALI KUBADILIKA. MI SIPENDI MKIWA MNAONGOZANA WOTE KWENYE MA SHOW YA USIKU MME KAFANYE KAZI MKE ABAKI HOME UKIRUDI MWILI UMEPOA HATA UJAUZITO UNAINGIAA!! SASA WOOTE STEJINI MKIRUDI MIILI YA MOTO SI MTAZAA POPOMPOO JAMANIII!! NITAFURAHI KUSIKIA TOFAUTI ZENU MMEZIMALIZA KWA AMANI ILI MASHABIKI WENU WASIJISIKIE
VIBAYA

Mashabiki nao walichangia kama ifuatayo;

geofrey_kamwanga Dah bora useme ww paster maswara yakuongozana kwenye mashooooo
glorymalamia mmmh, asa huu ushaur au msuto.., ha ha haaaaaaaa
kidg666 Nimependa ushauri wako masanja star n star kuoana n mipango ya mungu ivoooo wema inbid abadilike sanaaaaa
Previous Post Next Post