Documentary Teaser: Ni ya tukio la Westgate Mall' nchini Kenya kuonyeshwa live na HBO

HBO imepanga kuachia makala maalum (documentary ) itakayoonesha kila kitu kilichotokea ndani ya jumba kubwa la manunuzi la Nairobi, Kenya ‘Westgate Mall’ wakati magaidi wa Al-Shabaab walipovamia na kufanya mauaji.



HBO wameeleza kuwa camera zaidi ya 100 za jengo hilo zilinasa matukio takribani yote yaliyojiri na wao wako tayari kuyafichua.

Makala hiyo iliyopewa jina la ‘Terror at The Mall’ itaoneshwa rasmi Jumatatu, September 15 mwaka huu saa tatu usiku kupitia HBO.

Tazama trailer:


Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA