Brad Pitt na Angelina Jolie wailipa Cafe kiasi kikubwa cha fedha ili ifungwe kwa miezi 3, Nini chanzo soma hapa

Brad Pitt na Angelina Jolie wamewalipa wamewalipa wamiliki wa cafe moja ya barani Ulaya kiasi kikubwa cha fedha ili ifungwe kwa miezi mitatu kuwapisha washoot movie.



Pitt na Jolie wanashoot filamu mpya, By The Sea kwenye kisiwa cha Gozo. Kutokana na hitaji la kuwa huru, wawili hao wamewalipa wamiliki wa cafe hiyo iliyopo pembezoni mwa bahari maelfu ya dola kama fidia ya fedha ambayo wangeweza kuingiza katika kipindi cha miezi mitatu.
Previous Post Next Post