Katika siku mbili zilizopita Diamond Platnumz alipost video inayoonyesha watu wakikcheza wimbo wa 'Mdogo Mdogo' na kuandika uju be huu kwa Fans wake
'Nafkiri sasa ni wakati Muafaka!..Mi shida yangu ni Moja tu, nahitaji nipate style Maalum ya kucheza #Mdogomdogo .. iwe kutoka kwa Kundi au mtu yoyote kutoka nyumbani... Ukiwa unaamini unaweza kutoa style na ikatumika kama Mdogomdogo Dance tafadhari ntumie kuanzia sasa Kwenye namba hii +255652427989 au ipost kwenye Instagram yako kisha hash tag neno #MdogoMdogoDance nami nitairepost Hapa... Mwendo ni ule ule tu, Kikundi au Mtu atakaekuwa na Likes nyingi ndio tutaichukua Style yake na kuwa Official Dance style ya #MdogoMdogo .. Pia atapata Shilingi Milioni Moja Cash! na Kuwepo kwenye Video Mpyaaa ya Kucheza tu, iitwayo #Mdogomdogo_Instructional_Video pamoja na Team Nziiima ya Wasafi.....!!!!"
So kumbe kuna mkwanja wa Millioni 1 amabao Diamond Atautoa kwa mshindi atakaye cheza vizuri 'Mdogo Mdogo' Kazi kwenu Madancers.
Hizi ni video amabazi zinaenedelea kutumwa na baazi yamashabiki wa Diamond na wenye nia na Shindano hilo