Diamond Platnumz baada ya kushindwa kuchukua tuzo za BET na MTV MAMA, sasa atajwa kuwania tuzo hizi

Diamond Platinumz anaendelea kuongeza CV katika muziki wake kwenye level za kimataifa baada ya kutajwa Jana kuwa mmoja kati ya vijana wa Afrika wanaowania tuzo kubwa ya The Future Africa Awards& Summit (TFAAS 2014) zitakazofanyika Lagos Nigeria, July 31.

Waandaaji wa tuzo hizo wametangaza vipengele kumi vyenye majina matano katika kila kipengele baada ya kupokea mapendekezo kutoka katika bara zima la Afrika kupitia kamati yake maalum.

Utoaji wa tuzo hizi unatajwa kuwa tukio la pili kwa ukubwa linalohusu vijana kaika bara la Afrika.

Diamond anawania kipengele cha The Future Africa Awards Prize in Entertainment akiwa na Ice Prince, Yaya Toure (Iviry Coast), Sarkodie (Ghana) na muigizaji Ivie Okujaye (Nigeria).

Washindi wa tuzo hizi watapatikana kupitia jopo maalum lilotajwa na kamati ya tuzo hizo.

Katja Schiller Nwator (Leadership Development and CSR Manager, The Tony Elumelu Foundation), Mahamadou Sy (Founder and Executive Director of the Institut Supérieur de Développement Local (ISDL), Senegal), Wendy Luhabe (Founder, Women’s Private Equity Fund), Tonye Cole (Executive Director, Sahara Group), Ndidi Nwuneli (Founder, LEAP Africa), Mo Abudu (CEO, Ebony Life TV), na Jennah Scott (Director, Liberia Philanthropy Secretariat, Office of the President).

Hii ni orodha kamili ya washiriki:

The Future Africa Awards Prize in Advocacy & Activism

1. Kennedy Odede, 29

Shining Hope for Communities, Kenya

2. Ola Ojewumi, 23

Sacred Hearts children’s transplant foundation and Project ASCEND, Nigeria

3. Boniface Mwangi, 29

Pawa 254 initiative, Kenya

4. Abdikadir Aden Hassan, 26

Founding member of Garissa Youth Environment Movement, Kenya

5. David Akpan, 28

UCARE Foundation Nigeria

The Future Africa Awards Prize in Agriculture

1. Eric Muthomi, 27

Stawi Foods, Kenya

2. Nomzamo Khoza, 27

Farmer, South Africa



3. Olawale Isiah Ojo, 25

Agropreneur, Nigeria


4. Charles Nichols and Samir Ibrahim; 24, 24

SunCulture, Kenya

5. Nasir Yammama, 24

Farmer, Nigeria


The Tony O. Elumelu Prize in Business


1. Zakaria Hersi, 25

StartUpSomalia.com & 4Weeks4Life, Somalia

2. Eseoghene Odiete, 24

Hesey Designs, Nigeria

3. Andrew Mupuya, 21

Youth Entrepreneurial Link Investments, Uganda

4. Ally Edha Awadh, 31

Lake Oil Group, Tanzania

5. Ashley Uys, 30

Medical Diagnostech and OculusID, South Africa

The Future Africa Awards Prize in Community Action

1. Jake Okechukwu, 26

Sickle Cell Aid Foundation, Nigeria

2. Emmanuel Olisaeloka Osemeka, 30

Social Welfare Network Initiative, Nigeria

3. Tricia Michaels, 28

Stay In School Initiative, Nigeria

4. Nixon Ochater, 23

Amani Initiative, Uganda

5. David Akpan, 28

UCARE Foundation, Nigeria

The Future Africa Awards Prize in Public Service

1. Okwuone Nkechi, 25

Edo State Government, Nigeria

2. Guillermina-Mekuy Mba Obono, 32

Department of Culture and Tourism, Equatorial Guinea

3. Ahmed Salihijo, 30

Infrastructure Concession Regulatory Commission, Nigeria

4. Lukman Jaji, 29

African Union Institute for Education Information Management System, Nigeria

5. Peterson Opio, 28

Australian Aboriginal Development Cooperation, Uganda

The Future Africa Awards Prize in Technology


1. Lorna Rutto, 28

EcoPost, Kenya

2. Jamilia Abass, Linda Kwamboka, Susan Oguya, – 30, 26, 26

M-Farm, Kenya

3. Anne Amuzu, 29

Nandimobile Company, Ghana

4. Mark Essien, 31

Hotels.ng, Nigeria

5. Joshua Okello, 23

WinSenga, Kenya

The Future Africa Awards Prize in Entertainment

1. Panshak Zamani, 27

Musical Artiste, Nigeria



2. Michael Kwesi Owusu (Sarkodie), 28

Musical Artiste, Ghana

3. Nasibu Abdul Juma (Diamond), 24

Musical Act, Tanzania

4. Ivie okujaye, 28

Actress and producer, Nigeria

5. Yaya Toure, 31

Footballer, Ivory Coast

The Future Africa Awards Prize in Enterprise Support

1. Sanga Moses, 30

Eco-Fuel, Uganda

2. Bunmi Otegbade, 27

Generation Enterprise and StrategyQ, Nigeria

3. David Oshei, 27

Dropifi, Kenya

4. Justin Stanford, 30

4Di Group, South Africa

5. Oluwafemi Bankole, 27

TechCabal.com, Nigeria

The Future Awards Prize for African Young Person of the Year

1. Kayode Disu, 31

ISEC, Nigeria

2. Joel Mwale, 20

Sky Drop Enterprises and Gigavia.com, Kenya

3. Sangu Delle, 27

Cleanacwa, Ghana

4. Alengot Oromait, 22

Member of Parliament, Uganda


5. David Adedeji Adeleke (Davido), 21

Musician, Nigeria
Previous Post Next Post

Popular Items