Video: Sababu za Kanye West kuvaa ‘mask’ anapokuwa jukwaani

Kama wewe ni mfuatiliaji wa show za Kanye West utakuwa umeshagundua kuwa miongoni mwa vitu ambavyo havikosekani katika show zake kuanzia mwaka jana ni pamoja na kuficha sura yake kwa kuvaa ‘mask’.


Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Ijumaa iliyopita Kanye West alitumbuiza kwenye tamasha la ‘LondonWireless Festival’, kwa niaba ya Drake ambaye hakuweza kutumbuiza kutokana na kuugua.



Akizungumzia swala lake la kama staa mweusi aliyejaribu kuingia katika biashara ya fashion mbele ya mashabiki elfu 50 waliohudhuria show hiyo, Yeezy pia aligusia sababu za yeye kuvaa ‘mask’ kila anapotumbuiza kwenye show zake.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.



Haya ndio aliyoyasema Kanye:

“You know damn well no black guys or celebrities making
Louis Vuitton nothing. They let Pharrell make those [Louis Vuitton] glasses, and we liked ’em, right? They let me make those [Louis Vuitton] shoes and we liked ’em, right? They said, ‘No, no, no n-gga. Not no more. That’s too much. Stay in your place. Stand in front of that show and wear this jacket I made you. Stay in your place! Do what you’re paid to do! Don’t embarrass yourself trying to chase your dreams. Save face.’


Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

That’s why I got this f*cking mask on. Cause I ain’t worried about saving face. F*ck my face! That sounded wrong. Pause. They finally got a headline. But f*ck whatever my face is supposed to mean and f*ck whatever the name Kanye is supposed to mean, it’s about my dreams! It’s about anybody’s dreams. It’s about creating. It’s not about the idea about being a f*cking celebrity, it’s not about the idea of being a black man trying to do fashion and sh-t.”
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa