Video: Mtazame Raisi Jakaya Kikwete e na Mama Salma wakatiza mitaa ya Pangani Tanga na kununua ng’onda

Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete waliwashangaza wakazi wa wilaya ya Pangani,Tanga july 11 walipo tembelea mitaa hiyo na kununua samaki wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari Kipumbwi


Tazama video hapa...


Previous Post Next Post