Video Teeser: Linah afanya video South Afrika na Kampuni ya Good Father

Chukua muda wako kuweza kumtazama Estelinah Sanga maarufa kama Linah amefanya video yake ya kwanza na director wa South Africa Godfather.



Director wa video ya Linah  ndiye aliyetengeneza video ya Mdogomdogo ya Diamond Platnumz,Kerewa ya Sheta na video nyingine za P Square na Davido.

Wimbo unaitwa Ole Themba. Ni kipande  cha video hiyo uku ukisubili video kamili..

Previous Post Next Post