Video: Fuse ODG ft. Sean Paul – Dangerous Love

Hii hapa ni video mpya kutoka kwa MGhana, Fuse ODG ametoa video  ya wimbo aliomshirikisha nyota kutoka Jamaica Sean Paul. Wimbo huo unaoitwa ‘Dangerous Love’ umefanywa na maproducer wawili malegend Killbeatz na Di Denius kutoka Ghana na Jamaica.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari
Previous Post Next Post