Jay Z alitoa machozi kwenye uandishi wimbo huu

Jay Z a.k.a Boss wa Roc Nation,  alijikuta akitokwa na machozi wakati akiandika verse yake kwenye wimbo Young Jeezy, ‘Seen It All’.


Ilimchukua dakika 30-40 kumaliza verse yake ambayo ilimkubusha kumbukumbu nyingi za wakati akihangaika na maisha

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari




Kwenye wimbo huo, Hov anakumbuka maisha yake ya kitambo wakati akiuza madawa ya kulevya. 
.“We got on the phone and [Jay] was like, ‘Yo, Jeezy, when I was writing the verse I had tears in my eyes, man,’ because it took him so far back to Marcy,” Jeezy aliiambia MTV News. “Every bar in that song was real—I put my hand on the Bible.”
Previous Post Next Post