Picha: Wakazi ashoot video yake mpya ya 'Wanawake wa Dar' warembo hawa wote kuonekana katika video hiyo

Rapper wakazi amefanya video yake mpya ya 'Wanawake wa Dar'  na warembo wanaokiki jijini Dar es Salaam, Maggie Vampire na Anastacia Johnson wataonekana kwenye video hiyo ya Wakazi,  Video hiyo inaongozwa na Hefemi.



Wakazi akiwa location na Maggie na Anastacia

“On the set of ‘Wanawake Wa Dar’ video shoot with @maggie_vampire & @annystacia …. Directed By @hefemi of hefemistudios. The video is styled by @eskadobird All the hair & make-up is done by @americannailstz #WanawakeWaDar #LoveHateThingFreestyle #WWD #WWD #WWD #WWD #workethic #cervon #wakazimusic #hefemi #ZiaOfLife #DianaOfLife COMING SOON….,” ameandika Wakazi kwenye picha akiwa na wasichana hao.

Tazama picha hiz hapa chini za wrembo waliofanya video hiyo ya wakazi 'Wnawake wa Dar'...




















Previous Post Next Post