Picha: Diamond Platnumz kabla ya kuitwa Sukari ya Warembo...

Katika maisha akuna mtu anayeanzia juu kila mtu huanzia chini ndio kupanda, au kuna yale maneno wanayosemaga kuwa watu wametoka mbali! na hii ni sawa kabisa kwaSuper Star Diamond Platnumz amabaye anahistoria ya maisha ya ziki na umasikini lakini leo hii ni super star na hata afrika kumtambua kwa kile anahokifanya katika mziki wa BongoFlava.


Katika kupitia libary yetu ya picha leo nikakutana na picha hii ambayo imenishawishi niweze kushare na wewe mdau wangu.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari

Katika picha hapo juu utaweza kumuona Diamond Platnumz akiwa na Dada yake Queen Darling #tbt miaka kama 5 au 6 hvi. picha hii imenivutia kwani inanipa imani kwamba kila kijana mwenye malengo na mwenye ndoto za kufika mbali katika mafanikio anaweza kufanya ivyo kama nia ikiwepo, kwani ajalishi utakutana na vikwazo vingapi vya kukukatisha tamaa, so hii ni the same kwa today SuperStar Diamond Platnumz kwani anahistoria ammbayo itakufanya ujitume kwa bidii ili kuepeukana ana khali ngumu ya maisha.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!. au like Facebook Fan Page yetu na Twitter ili kupata kila habari





 Today Dimaond Platnumz hapa juu akiwa na Dada yake Queen Darling
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA