Picha: #tbt Diamond Platnumz na Ali Kiba Uswahiba ulikuwa hivi

Wazungu wanasema picha huongea maneno elfu moja, hii ni kabla Diamond hajanza kugeuka kuwa sukari ya warembo na wakati huo Kiba ndio akiwa ndio talk of the town, hapa ni kabla hata mambo ya mabifu hayakuwepo, wakati mambo yalikuwa shwari kabisa..ila kwa hivi sasa bado ni ndoto kupata picha kama hii wawili hawa wakiwa pamoja.

Diamond Platnum akiwa na Ali Kiba

 Diamond Platnumz,Ali Kiba Pamoja na Marlow

Previous Post Next Post