Picha: Tazama picha ulizozimic kutoka Instagram #wema Sepetu na #Diamond Platnumz 'Waoneshana Real Love'

Katika kupitia mitandao tofauti ya kijamii leo nimekutana na picha hizi za mastaa hawa wawili ambao kila leo wanamacke headline katika magazeti na blogs tofauti katika picha hizi utaweza kumuona Super Star Diamond Platnumz akiwa nyumbani kwa mpenzi wake Wema Sepetu .

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

. Katika ujumbe ya moja ya picha Wema Sepetu alisema 'Jana sasa without knowing... someone showed up looking like this .. kaniiga rangi zangu eti...? Hajaniiga bwana it was jus a coincidence....' ujumbe huo uliandikwa na Mwanadada Wema Sepetu uku ukiamabatana ana pichaya yeye akiwa na laazizi wake

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Tazama picha zaidi hapa chini.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Previous Post Next Post