Video: Linah - Ole Themba (Official Video)

Hatimaye Mwanadada Linah ameachia video yake mpya aliyoifanya Afrika Kusini na muongozaji GodFather video hiyo  imeachiwa rasmi leo. 



Wimbo unaitwa ‘Ole Themba, video na audio vyote vimefanyika Afrika Kusini. Linah ambaye kwa sasa ana uongozi mpya uitwao No Fake Zone Entertainment (NFZ), jana ameagwa rasmi na Tanzania House of Talenta (THT) iliyompika na kumlea hadi alipopata jina na kuanza kujitegemea.
Previous Post Next Post