Picha: Semina iliyotolewa na Wadau wa muziki kutoka Marekani kwa Wasanii na wadau Tanzania

Hapo jana Wadau wakubwa wa muziki kutoka Marekani Terrance J, Ravi Shelton, Chaka Zulu na David Banner July 14 214 kwa pamoja wameendesha semina ya majadiliano ya namna ya ku market, ku promote ku ji brand na kujiuza. 



Semina hiyo ambayo ilifanyika jana na ikiwa katika siku ya kwanza imehusisha wadau mbali mbali wa fani za sanaa nchini ikiwemo wasanii wa fani mbali mbali, mameneja, wanasheria, watayarishaji na waandaaji wa muziki na filamu, na wanajamii wengine ambao wanahusika kwa karibu na fani hizo.

Tazama picha hapa zaidi...
































































Image Credit via: Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items