Picha: Mama Kanumba na Lulu wafuturu na watoto yatima

Msanii wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Alhamis ya wiki hii, alienda kufuturu pamoja na watoto yatima wa kituo cja Chakuwama kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Lulu alimbatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba na Dk Cheni. Hizi ni baadhi ya picha.


Lulu akiwa na Mama yake mzazi na Mama Kanumba pamoja na mdogo wake







Baadhi ya watoto wakipita kuchukua chakula





Mama Lulu na Mama Kanumba wakipata chaku





Picha:Bestizoo
Previous Post Next Post