Video Teaser: Feza Kessy - My Papa

Ni baada ya kusambaza picha za wakati akishoot video ya My Papa, mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la BBA mwaka jana, Feza Kessy ametoa kipande cha sekunde 30 kinachoonesha video hiyo itakavyokuwa, Enjoy.



Previous Post Next Post