Music: Linah – Ole Themba

Mwimbaji Linah ametoa ngoma Mpya inaitwa “Ole Themba” imefanyika katika Studio za Uhuru nchini South Afrika nahii ngoma imendikwa na Nash Designer na Lina saiv kazi zake anasimamiwa na No Fake Zone Entertainment




Previous Post Next Post