Music: Sauti Sol - ‘Sura Yako’

Kundi kutoka kenya lenye members wanne la Sauti Sol kutoka Kenya, limeachia wimbo mpya uitwao ‘Sura Yako’, ikiwa ni single ya nne kutoka kwenye album yao ‘Live and Die in Africa’ inayotarajiwa kutoka kabla mwaka huu kuisha. Wimbo huu umefuata baada ya ‘Nishike’ iliyotoka miezi michache iliyopita.



Previous Post Next Post