Diamond Platnumz amjibu Ally Kiba.

Katika wiki iliyopita kupitia Bongo61 tulipost habari juu ya Swali aliloulizwa Allykiba kupitia XXL ya Clouds Fm  juu ya mahusiano yake na msanii mwenzake Diamond Platnmz, Ally kiba aliibu swali hilo kama ifuatavyo '“Mimi niko okay sana sema sifikirii kuongea naye tu basi lakini niko very okay yaani. Yaani sijawahi kufikiria si unajua kuwa na mtu okay ni kuzungumza na kuwa karibu unajua hivyo vitu, yaani sijawahi kufikiria hata hivyo. Mi niko okay na sina chuki na sana sana nampongeza lakini sina chuki, simaind yaani niko veeery okay”.' So Kutokana na majibu hayo ya Ally Kiba....



Usiku wa kuamkia July 21 Jana The Superstar Diamond Platnumz alimjibu kupitia ukurasa wake wa instagram kama ifuatavyo;



Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika hivi..

'Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima Nchini kwetu...."

Je wewe unalizungumziaje swala hili, ?
Previous Post Next Post

Popular Items