Wema sepetu na huyu rafiki yake mpya wamsindikiza Diamond Platnumz kwenye tuzo za Mtv MAMA, South Afrika

Kampuni ya ndege ya fastjet imeamua kuunga mkono muziki wetu kwa kuamua kumsafirisha Diamond Platnumz, familia yake na team yake nzima kuelekea Afrika Kusini tayari kabisa kuhudhuria tuzo za MTV MAMA awards zitakazofanyika siku ya jumamosi jijini Durban , South Africa. Diamond alisema haya kuhusiana na ofa hiyo aliyopewa na fastjet ” Asante sana fastjet  kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. 




Na kama wadau mlivyotegemea basi bibie wema sepetu hakuachwa nyuma katika msafara huo tena naye alikua na shostizo wake mpya aunty ezekiel katika pipa hilo linaloelekea South Africa.

Mafanikio mema Diamond Platnumz kwenye MTV MAMA Awards
Previous Post Next Post

Popular Items