Picha: Yaliyojiri katka mazishi ya Mama mzazi wa Mh Zitto Zubri Kabwe, Kigoma

Mchana wa June 02 ndiyo yamefanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki jana Mei 01 Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa kwa ajili ya kwenda kuzikwa Kigoma.


 Mazishi yalifanyika saa 9 alasiri.













Previous Post Next Post