Picha: Huyu ndiye mrembo anayechezea Pesa za Young Killer

 Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.

Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.




Ama kweli pesa Sabuni ya roho

Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la kulalia.
Previous Post Next Post