Music: Nakaya - Blessing

Sikiliza wimbo mpya wa Mwanadada Nakaya unaoitwa "Blessing" wimbo huu ni special kwa ajili ya baraka alizojaliwa na mwenyezi mungu za kumfanya kuwa mama wa mtoto wa kiume, so kwa kumshukuru mungu kwa kazi na baraka zake , wimbo unaitwa Blessing sikiliza na download hapa @Bongo61



Previous Post Next Post