Picha: Kill Music Tour ilivyokuwa Iringa

Wakazi wa Iringa wameifunga awamu ya kwanza ya Kilimanjaro Music Tour kwa kufurika katika uwanja wa Samora kushuhudia wakali wa muziki nchini wakitoa burudani bila kujali hali ya hewa ya baridi. Wakali kama Snura, Linex, AY, Mwana FA, Profesa Jay, Izzo Bizness, Joh Makini, Juma Nature, Mwasiti, Nikki wa Pili na Gnako Warawara walilishambulia jukwaa kwa masaa sita mfululizo na kuwakonga nyoyo maelfu waliojitokeza uwanja wa Samora kuwashuhudia. Ziara hiyo iliyozunguka mikoa mitano inatarajiwa kuendelea mwezi Agosti ikiwa ni kuupisha mwezi ramadhani na inatarajiwa kwenda mikoa ya Mbeya, Kigoma, Mtwara, Dodoma na kukamilishiwa Dar es Salaam.


Snura ndiye aliifungua Kili Music Tour kwa kuonyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaa



Tazama picha zaidi hapa


Dullah na Sam Misago wakifanya amsha amsha kwa kuwazadia mashabiki zawadi mbalimbali toka Kili.






Mwasiti jukwaani huku akimpandisha na shabiki mmoja

Backstage: Linex

Backstage: Rich Mavoko akijiandaa kupanda jukwaani

 Linex akilishambulia jukwaa


 Rich Mavoko na madansa wake




Izzo Business

Professa Jay backstage

Mashabiki waliodatishwa na Kili Music wakiendelea kushereheka





Ay akiwa na Mwana FA

Juma Nature



Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA