Baada ya story za Diamond na Wema, sasa imeamia kwa Cindy Rulz na Gosby.

Mbali na zil story za Diamond na Wema Sepetu zakuachana naa kurudiana, ambao kwa hivi sasa imeanza kuwa historia , kuna wasanii wawili waliokuwa wameiva sana katika penzi lao kwa muda mrefu, hapa tunaongelea Gosby na Cindy Rules, na rumors had it kuwa hawapo njema kwa hivi sasa, ila katika hali iliyokuwa inaonyesha kuwa wawili hao wamezinguana, ni picha hizi zilizozua utata zinazonyesha kuwa kama vile Cindy Rulz kashamsahau Gosby au ni kweli yupo katika project mpya. Bongo61.Com ilizinyaka baadhi ya picha zilizopigwa katika pozi la utata akiwa anaonekana akitumia muda mwingi ku-hangout na celebrity Stylist wa hapa town ajulikanaye kama Micky.


zitazame hapa





Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa