Picha: Kili Music Tour Ilivyofunika na kupagawisha watu Kahama

Ule mfululizo  wa tour ya Kilimanjaro Music Tour kuzunguka mikoa yote uko katika wakati wake , na kama timu nzima ya wasanii hawa ahaajafika katika mkoa wako jiandae kwani wako njiani kuja mkoani kwako.



Chukua muda wako wa kuweza kuzitazama picha hizi ya jinsi kill music tour ilivyokuwa Kahama na jinsi watu walivyoparty hadi basiii.

Tazama picha hapa





 Backstage: AY
 Nyeusi ilipokutana na Mong’oo
 Christian Bella kabla ya kupanda jukwaani
 Shilole na madansa wake

 Shilole ndiye ameifungua Kili Music Tour Kahama
 Rich Mavoko akifanya yake Kahama
 Rich Mavoko akifanya yake Kahama

 Christian Bella jukwaani



 Mori wa Mwana FA

 Uwanja wa Halmashauri ya Kahama haukutosha
 Cheza bila kukunja goti



Backstage: Mwana FA na Sajjo
Previous Post Next Post

Popular Items