Chukuwa muda wako na kuwa wa kwanza kujua list nzima ya washindi walioshinda katika tuzo za MTV 2014 Afrika Msuic Awards amabapo tukio zima lilifanyika Nchini South Afrika katika ukumbi wa Durban International Convention Centre (ICC) na kuudhuriwa na mastaa kibao kutoka ndani na nje ya afrika
Soma list hii hapa ya washindi katika tuzohizo za #MAMA2014
Best Male: Davido (Nigeria)
Best Female: Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group: Mafikizolo (South Africa)
Best New Act: Stanley Enow (Cameroon)
Best Live Act: Flavour (Nigeria)
Best Collaboration: “Y-tjukutja” – Uhuru Ft. Oskido, DJ Bucks, Professor and Yuri Da Cunha (South Africa/Angola)
Best Hip Hop: Sarkodie (Ghana)
Best Alternative: Gangs of Ballet (South Africa)
Best Francophone: Toofan (Togo)
Best Lusophone: Anselmo Ralph (Angola)
Artist of the Year: Davido (Nigeria)
Song of the Year: “Khona” – Mafikizolo ft Uhuru (South Africa)
Best Video: Clarence Peters (Nigeria)
Best Pop: Goldfish (South Africa)
Best International: Pharrell
Personality of the Year: Lupita Nyong’o (Kenya)
MTV Base Leadership Award: Ashish J. Thakkar (Tanzania)
Transform Today Award by Absolut: Clarence Peters (Nigeria)