Picha: Flaviana Matata aungana na Russell Simmons na Kimora Lee kwenye hafla ya Wayuu Taya Foundation
byNews Tanzania-
0
Mwananmitindo Flaviana Matata kutoka Tanzania aishieye Nchini Marekani alikuwa mmoja wa wageni waalikwa kwenye hafla ya Wayuu Taya Foundation ambapo aliungana muasisi wa label ya Def Jam, Russell Simmons na mke wa zamani Kimora Lee.
by @doublecrossvodka “Proud supporter of @wayuutaya, @uncle_rush with @Flavianamatata @eugenawashington & @Angela_martini. #wayuutaya” #flavianamatata
Taasisi hiyo husaidia kuimarisha maisha ya wamarekani wenye asili ya kilatini.