Hermy B afunguka kuhusu mtu aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits

CEO na Producer  wa B’Hits Hermy B ameamua kufunguka ya moyoni kuhusiana na mtu wa karibu yake anayeamini kuwa ndiye aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits ambao kwa sasa hawako naye tena. Kupitia Twitter, Hermy amesema B’Hits ilivunjwa kutokana na maneno ya watu.


Soma tweet za Hermy B


Previous Post Next Post