Picha:Huyu ndiye dancer wa THT anayetoka na irene uwoya, Mpenzi wa dancer uyo amjia juu irene uwoya

Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine.


Msami na Irene Uwoya

Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri.


 Rehema (Kulia)
“Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.

Msikilize hapa akiongea...

Previous Post Next Post