Picha: Wiz Khalifa anaishi katika Mjengo Huu

Wiz Khalifa alinunua hii nyumba eneo la Canonsburg, Pennsylvania, yenye vyumba 5 vya kulala, mabafu 4, nyumba ya pembeni ya wageni. Hii nyumba ipo karibu na eneo alilolelewa na kusoma rapper Wiz Khalifa, Inasemekana ni kijana anayependa sana kuishi karibu na nyumbani au mitaa aliyokulia, sio kwenye miji mikubwa yenye fujo na kelele za mastaa wengine.




Taama picha hapa chini:







Previous Post Next Post