Picha: Hivi ndivyo Justin Bieber alivyozomewa na uwanja mzima akiwa na mama yake kwenye mechi ya kikapu

Mwimbaji Justin Bieber aliamua kwenda na mama yake Patti Mallette, 38, kwenye mechi ya Los Angeles Clippers jana kusherehekea Mother’s Day, lakini hakutegemea kusaliwa kwa kuzomewa na uwanja mzima!


Justin na mama yake
Chanzo kimoja kimeiambia E! News kuwa uwepo wake haukuwafurahisha wengi na watu walisikika wakimzomea baada ya camera za Staples Center kumuonesha. Hata hivyo, Bieber hakujali kelele hizo na aliendelea kuhave fun na mama yake.

Tazama picha zaidi za Justin Biber na Mama yake walivyokuwa Uwanjani hapo
















Previous Post Next Post