Lulu Michael Atembea maziwa Nje Nje...Aangaika Kuzifunika Bila Mafanikio

MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.



Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:

“Yaani nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni lililoacha wazi matiti yake, kaficha chuchu tu na inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana akihangaika kulirudishia bila mafanikio.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa