Baada ya Kufunga Ndoa tu, Kim Kardashian abadili jina na kuandika hivi

Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni Kim Kardashian West. Mrs West amefanya mabadiliko hayo jana (May 29).



Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim alibadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni Kim Kardashian West. Mrs West amefanya mabadiliko hayo jana (May 29).



Juzi Kim alipost picha za kwanza za harusi yao na kuandika ‘Mr. & Mrs. Kanye West’ katika moja ya picha hizo
Previous Post Next Post