Video:Lil’wayne akimuwakia Boss wa timu ya kikapu baada ya kutukana ngozi nyeusi.

Baada ya boss wa timu maarufu ya kikapu maarufu ya LA Clippers kusema, hapendi kuona ngozi nyeusi uwanjani wakati timu yake ikicheza, imepokelewa na watu mbali mbali maarufu duniani kwa hasira sana, akiwemo,



Raisi wa Marekani Barack Obama, kwa kitendo hicho Boss huyo, anaendelea kupata majibu ya hasira na matusi kutoka kwa watu mbalimbali duniani, si tu kwa watu weusi, imeonekana kutopendezwa hata na baaadhi ya wazungu pande mbalimbali za dunia, hii mpya ya lil’wayne akimuwakia Boss huyo.




Previous Post Next Post