Rais huyu kutoka afrika atoa zawadi za iPhone za Gold katika harusi ya Binti yake

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya mwanae wa kike wa kwanza, Faith iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre jana.

Sijui unaweza ukaitafsiri vipi hii lakini katika tafsiri ya kawaida utabaini kuwa viongozi wa afrika hawataki kutoka kwenye uongozi ukweli ni kwamba kuna mkwanja mrefu huko cheki hii

IPhone hizo za Gold zilizotolewa zawadi na Rais Goodluck Jonathan 

Ukiachana na mzee Goodluck kutapika simu hizo zenye gharama kwa wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA.

Gift Bag ambazo ndani zimebeab iphone hizo


Kama ambavyo zilikuwa zimeandikwa kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni ndoto kwao kumiliki simu hii lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia zawadi hii mhimu simu ambayo kila mtu anatamani kuimiliki
 

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA