Producer P -Funk a.k.a Majani aoa Arusha

Yule producer mkongwe wa wa Muziki wa Bongo na aliyesaidia kwa kiasi kikubwa kuufikisha muziki huu wa Bongo mahala ulipo P-Funk a.k.a Majani amefunga pingu za maisha  na mrembo aitwaye Hidaya katika harusi iliyofanyika jijini Arusha.



Kupitia Instagram, Majani ameandika: Finally i made the big moves’ na kuambatanisha picha akiwa na mke wake Hidaya.

Tazama picha hizi..



Wanaharusi mara baada ya kufunga ndoa













Previous Post Next Post