Picha: Hivi ndivyo Show ya Mafikizolo ilivyokuwa jijini Dar Ilifana sana!

Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini linaloundwa na Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza jana (April 5) limezikonga nyoyo za mashabiki wake jijini Dar es Salaam.Show hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City ilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali na wapenzi wa burudani, hali iliyopelekea show hiyo kuwa nzuri zaidi.
Mwimbani wa kundi la Mafikizolo, Theo Kgosinkwe akifanya yake




























Luca Neghesti na Nancy Sumari wakisubira show ya Mafikizolo

Add caption




Mwimbaji wa Mafikizolo Nhlanhla Nciza






Image Credit:Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA