Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa nchini katika entertainment industry amekuja na ndala za kidoti zenye picha yake baada ya kuwa gumzo na nywele za kidoti.
Jokate licha ya kuwa maarufu sana haendekezi kuhongwa na wanaume kama baadhi ya mastaa wenzake wa kike walivyo bali anaamini katika kutafuta kwa kupitia jasho lake mwenyewe na kwa njia halali huki akiwa hana skendo. Congrats Jokate
Hizi ndizo Ndala mpya zenye sura ya Jokate a.k.a Kidoti |
Na hii ndio post yake aliyoipost instgram akizitangaza bidhaa zake mpya
Ongera sana Jokate kwa Mafankio haya..!