Lulu atoa tahazari kwa mashabiki wake, 'kuweni makini na hao Matapeli'

Elizabeth ‘Lulu’ Michael ambaye ni msanii wa filamu nchini amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake za mitandao ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa marehemu Steven Kanumba kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza.




Kupitia Instagram, Lulu amesema:

“Dah sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba michango eti…dah the same account ipe post video ya ex…..na ziko account nyingi sana….now mm sina account yoyote facebook nina fan page moja tu ELIZABETH LULU MICHAEL….kwahiyo kuweni makini na hao matapeli…na nyie mnaotumia jina langu vibaya I thnk it[s time to leave me alone…kwa hayo mapenzi ya kutumia jina langu ovyo nimeshindwa mm…..”
Previous Post Next Post