Hayo ndio maneno yake mwenyewe Mr.Dangote aka Diamond Platnumz, aliposikia Wema Sepetu katangazwa kuwa mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl lililoandaliwa na Gazeti la Ijumaa, Diamond alifunguka kwa kusema kuwa “Wema ni kifaa, nilimkubali na nitaendelea kumkubali,”.
Diamond Platnumz amekuwa ni mtu mwenye furaha siku zote, nakufanikiwa kupunguza drama zilizokuwa zinamuandama kipindi alipokuwa ameachana na Wema. Katika kipindi tofauti amekuwa akimsifia Wema na kukiri kuwa, Wema ni mwanamke mzuri sana, na anajivunia kuwa na binti mzuri, ambaye kila kukicha anazidi kupewa vyeo mbali mbali.
Wema alinyakuwa tuzo hiyo, baada ya kuwaacha mbali sana wapinzani wake waliokuwa katika mchuano huo uliofanyika pale viwanja vya DarLiive siku ya pasaka, kumpata Ijumaa Sexiest Girl. Waliokuwa katika kinyang’anyiro hicho ni Jokate Mwegelo, Jacqueline Wolper, Elizaberth Michael ‘Lulu’ na Nelly Kamwelu

Credit:VibeMag