Diamond Platnumz ataja siri ya kupagawa na Wema Sepetu

STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.

“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki Diamond.
Source:Globalpublishers

Previous Post Next Post