"Wazazi wangu ni matajiri" Hawahitaji msaada wangu - Jacqueline Wolper

Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo.




“ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Alifunguka wolper 

Chanzo:BongoMovies!
Previous Post Next Post