Siri ya Mtungi yakosa tuzo kwenye tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards

Thamthilia maarufu ya masula ya jamii na changamoto za maisha, SIRI YA MTUNGI imeshindwa kufanya vizuri katika tuzo AMVCA2014 - AfricaMagic Viewers’ Choice Awards zilizofanyika huko Nigeria licha ya kutajwa kuwania katika vipengele vingi kwenye tuzo hizo.


Katika kuwashukuru watu wote waliowasaidia kufika hapo walipofika licha ya kutopata tuzo hata moja, SIRI YA MTUNGI walitoa ujumbe huu kwa mashabiki.


‘’ Hatukufanikiwa kuchukua ushindi katika sehemu tulizokiwa nominated ila tumejifunza mengi zaidi. Asanteni sana kwa support yenu siku zote!#SiriYaMtungi #AMVCA2014’’
Washindi wa tuzo hizo ni:
Best Movie of 2013 – The Contract

Best Actor in a Drama – Tope Tedela (A Mile From Home)

Best Actress in a Drama – Nse Ikpe-Etim (Journey To Self)

Industry Merit Award – Peter Edochie

Best Movie Drama – Frank Rajah Arase for The Price

Best actor in a comedy award – Elvis Chucks

New era award – Rita Dominic (The Meeting)

Trailblazer Award – Michelle Bello

Best supporting actor in a Drama – Desmond Elliot (Finding Mercy)

Best supporting actress in a Drama – Bikiya Graham-Douglas (Flower Girl)

Best Director – Shirley Frimpong-Manso (The Contract)

Best Actor in a Comedy – Osita Iheme – The Hero

Best Online Video – Amarachukwu Onoh – Mother Tongue

Best Short Film – Walter ‘Waltbanger’ Taylaur – The Wages

Best Documentary – Dr Gilbert Chigbo – The Deadwood

Best Indigenous Language (Hausa): Abba Muko Yakassai

Best indigenous language Yoruba – Mercy Aigbe

Best indigenous language Swahili award – Njoki Muhoho – Mama Duka

Best Television Series (Comedy/Drama) – Fred Phiri – Love Games Episode 6

Best video editor – Shirley Frimpong-Manso – Contract

Best sound editor – Obi Emelonye and Luke Corradine – Last Flight to Abuja

Best Cinematographer – Christian Almesberger – Nairobi Half Life

Best Writer in a Comedy – Jigi Bello – Flower Girl

Best Lighting Designer – Mohamed Zain – Nairobi Half Life

Best Writer in a Drama – Shirley Frimpong-Manso & Hertey Owusu – Contract

Best Make-Up Artiste – Elayne Okaya – Nairobi Half Life

Best Costume Designer – Chiemela Nwagboso – The Kingdom

Best Art Director – Barbara Minishi – Nairobi Half Life

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA