Video Teaser :Hivi ndivyo Ay anavyokuja katika 'Asante'

Katika kuakikisha Ay anakuwa karibu na mashabiki wake na kuwataarifu kile anachokifanya, Ay ameachia teser ya video yake mpya aliyoifanya inayoitw asante .



Tazama kipande hiki kidogo utajua kile alichokifanya Ay katika video hii na kinachofuta katika video yake mpya ya Asante


Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia